Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 38-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Anayetokwa Majimaji Je Inasihi Aswali Qiyaamul-Layl Kwa Wudhuu Wa ‘Ishaa?

38-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Anayetokwa Majimaji Je Inasihi Aswali Qiyaamul-Layl Kwa Wudhuu Wa ‘Ishaa?

 

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

38-Anayetokwa Majimaji Je Inasihi Aswali Qiyaamul-Layl Kwa Wudhuu Wa ‘Ishaa?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

SWALI:

 

Je inasihi kwa mwanamke huyu (anayetokwa majimaji) kuswali Qiyaamul-Layl itapokatika nusu ya pili ya usiku kwa wudhu wa ‘Ishaa?

 

JIBU:

 

 

Hapana, itakapokatika usiku wa nusu ya pili inapasa  kuchukua wudhu  mwingine.  Na imesemwa pia halazimiki kurejea kuchukua wudhu, na  hii ndiyo rai iliyokubaliwa.

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10145

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10145&title=38-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Anayetokwa%20Majimaji%20Je%20Inasihi%20Aswali%20Qiyaamul-Layl%20Kwa%20Wudhuu%20Wa%20%E2%80%98Ishaa%3F%20