Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 42-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Anapotokwa Na Majimaji Je Inatosha Aoshe Viungo Vya Wudhuu Pekee?

42-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Anapotokwa Na Majimaji Je Inatosha Aoshe Viungo Vya Wudhuu Pekee?

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

42-Anapotokwa Na Majimaji Je Inatosha Aoshe Viungo Vya Wudhuu Pekee?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

SWALI:

 

 Kuhusuana na udhu wa majimaji hayo je itatosheleza kukosha viungo vya udhu tu?

 

 

JIBU:

 

 

Naam, itatosheleza hilo pindi ikiwa ni tohara nayo ni ambayo inatoka kwenye nyumba ya kizazi na sio kwenye kinena.

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10163

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10163&title=42-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Anapotokwa%20Na%20Majimaji%20Je%20Inatosha%20Aoshe%20Viungo%20Vya%20Wudhuu%20Pekee%3F