Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 43-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?

43-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?

 

 Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

43-Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

SWALI:

 

Ni kwa nini haikunukuliwa kutoka kwa Nabiy Hadiyth inayothibitisha kutenguka kwa uwdhu kutokana na majimaji yale pamoja na kuwa Maswahaba walikuwa wakijali mno kutoa fatwa katika mambo ya Sini yao?

 

 

JIBU:

 

 

Ni kwa kuwa majimaji haya hayamtoki kila mwanamke.

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10164

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10164&title=43-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Kuna%20Hadiyth%20Kuhusu%20Kutokwa%20Majimaji%3F