Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 45-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hawapaswi Kutawadha Kutokana Na Majimaji Yanayomtoka

45-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hawapaswi Kutawadha Kutokana Na Majimaji Yanayomtoka

 

 Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

45-Hawapaswi Kutawadha Kutokana Na Majimaji Yanayomtoka?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

 

Kuna wanaonasibisha kauli kwako kuwa hawapaswi kutawadha kutokana na majimaji yale (yanayomtoka mwanamke)?

 

 

 

JIBU:

 

 

Mwenye kunasibisha kauli hii kwangu hakusema kweli, (bali anapaswa kutawadha) kwani kilicho wazi ni kuwa amefahamu kutoka katika kauli yangu ni kuwa ni tohara hayatengui wudhuu (ikiwa ni majimaji yanayoendelea kutoka; Rejea Swali namba 35).   

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10172

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10172&title=45-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Hawapaswi%20Kutawadha%20Kutokana%20Na%20Majimaji%20Yanayomtoka