Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 58-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwenye Hedhi Siku Ya ‘Arafah Afanye Nini?

58-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwenye Hedhi Siku Ya ‘Arafah Afanye Nini?

 

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

58-Mwenye Hedhi Siku Ya ‘Arafah Afanye Nini?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

SWALI:

 

 

Mwanamke akiwa na hedhi siku ya ‘Arafah afanye nini?

 

 

JIBU:

 

 

Mwanamke akiwa na hedhi siku ya ‘Arafah basi ataendelea na Hijjah yake na kufanya wanaofanya watu wala haruhusiwi kutufu katika Nyumba (Al-K’abah) hadi atoharike.

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10195

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10195&title=58-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Mwenye%20Hedhi%20Siku%20Ya%20%E2%80%98Arafah%20Afanye%20Nini%3F