Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas > 59-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Akiwa Katika Hedhi Baada Ya Jamarah Kabla Ya Twawaaf Al-Ifaadhwah Na Hawezi Kurudi Baada Ya Safari

59-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Akiwa Katika Hedhi Baada Ya Jamarah Kabla Ya Twawaaf Al-Ifaadhwah Na Hawezi Kurudi Baada Ya Safari

 

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

59-Akiwa Katika Hedhi Baada Ya Jamarah Kabla Ya

Twawaaf Al-Ifaadhwah Na Hawezi Kurudi Baada Ya Safari

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

 

Mwanamke akiwa na hedhi baada ya Jamarah (Kurushwa vijiwe) katika Al-‘Aqabah na kabla ya Twawaaf Al-Ifaadhwah, nae akiwa katika kundi pamoja na mumewe na marafiki wake, juu yake ni nini afanye pamoja na elimu ya kuwa hawezi kurejea baada ya safari yake?

 

 

 

JIBU:

 

Kama hawezi kurudi basi atajihifadhi vizuri kisha atatufu kwa hali ya dharura wala isiwe kitu juu yake, na kukamilisha baki ya ‘ibaadah za matendo ya Hijjah.

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10196

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10196&title=59-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Akiwa%20Katika%20Hedhi%20Baada%20Ya%20Jamarah%20Kabla%20Ya%20Twawaaf%20Al-Ifaadhwah%20Na%20Hawezi%20Kurudi%20Baada%20Ya%20Safari%20