Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyenyekevu Wake: > 01-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyeyekevu Wake: Kutokulalamika Chakula Nyumbani Kwake

01-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyeyekevu Wake: Kutokulalamika Chakula Nyumbani Kwake

Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy  (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

01-Unyeyekevu Wake Wa Kutokulalamika Chakula Nyumbani

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Hakuwa mwenye makuu katika chakula, akila chochote alichopikiwa bila ya kulalamika:

 

 

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ: مَا رَأَيْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عَابَ طَعَامًا قَطُّ كَانَ إِذَا اشْتَهَاهُ أَكَلَهُ وَإِنْ لَمْ يَشْتَهِهِ سَكَتَ ‏.‏  مسلم

 

Abuu Huraryrah amesema:  “Sijapatapo kamwe kumuona Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) akitia dosari chakula. Alikuwa anapokipenda anakila, na asipokipenda ananyamaza.” [Muslim]

 

Na Riwaayah nyenginezo

 

“Asipokipenda alikiacha.” [Al-Bukhaariy na wengineo]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10343

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10343&title=01-Sifa%20Na%20Akhlaaq%20Za%20Nabiy%20%28%D8%B5%D9%84%D9%89%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%20%D8%B9%D9%84%D9%8A%D9%87%20%D9%88%D8%A2%D9%84%D9%87%20%D9%88%D8%B3%D9%84%D9%85%29%3A%20Unyeyekevu%20Wake%3A%20Kutokulalamika%20Chakula%20Nyumbani%20Kwake