Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyenyekevu Wake: > 11-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyenyekevu Wake Alikuwa Akitembelea Masikini Akizuru Wagonjwa Wao Na Akihudhuria Maziko Yao

11-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyenyekevu Wake Alikuwa Akitembelea Masikini Akizuru Wagonjwa Wao Na Akihudhuria Maziko Yao

 Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy  (صلى الله عليه وآله وسلم)

11-Unyenyekevu Wake Alikuwa Akitembelea Masikini

Akizuru Wagonjwa Wao Na Akihudhuria Maziko Yao

 

www.alhidaaya.com [1]

 

عن سهل بن حنيف ان النبي صلى الله عليه سلم كان يأتي ضُعفاءَ المسلِمينَ، ويزورُهمْ، ويعودُ مرضاهمْ، ويشهَدُ جنائزَهم

Kutoka kwa Sahl bin Haniyf (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akienda kwa Waislamu walio duni na akiwatembelea na akitembelea wagonjwa wao na akihudhuria maziko yao.” [Al-Haakim na ameisahihisha Al-Albaaniy katika Swahiyh Al-Jaami’ (4877)]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10354

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10354&title=11-Sifa%20Na%20Akhlaaq%20Za%20Nabiy%20%28%D8%B5%D9%84%D9%89%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%20%D8%B9%D9%84%D9%8A%D9%87%20%D9%88%D8%A2%D9%84%D9%87%20%D9%88%D8%B3%D9%84%D9%85%29%3A%20Unyenyekevu%20Wake%20Alikuwa%20Akitembelea%20Masikini%20Akizuru%20Wagonjwa%20Wao%20Na%20Akihudhuria%20Maziko%20Yao