Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 01-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Nidhamu - كِتابُ الأدَب > 07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Mtu Kumsikiliza aliyekaa Nae Ambayo Sio Haramu, na Kumsikiliza Mwanazuoni na Mtoa Waadhi Mbele ya Mkutano Wake

07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Mtu Kumsikiliza aliyekaa Nae Ambayo Sio Haramu, na Kumsikiliza Mwanazuoni na Mtoa Waadhi Mbele ya Mkutano Wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

 

باب إصغاء الجليس لحديث جليسه الذي ليس بحرام واستنصات العالم والواعظ حاضري مجلسه

07-Mlango Wa Mtu Kumsikiliza aliyekaa Nae Ambayo Sio Haramu, na Kumsikiliza Mwanazuoni na Mtoa Waadhi Mbele ya Mkutano Wake

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

عن جرير بن عبدِ اللهِ رضي الله عنه ، قَالَ : قَالَ لي رسول الله صلى الله عليه وسلم في حَجَّةِ الْوَدَاعِ : (( اسْتَنْصِتِ النَّاسَ )) ثُمَّ قَالَ : (( لاَ تَرْجِعُوا بَعْدِي كُفّاراً يَضْرِبُ بَعْضُكُمْ رِقَابَ بَعْضٍ )) متفقٌ عَلَيْهِ .

Imepokewa kutoka kwa Jariyr bin 'Abdillaah (Radhwiya Allaahu 'anhu) ambaye amesema: Aliniambia mimi Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika Hajjatul Wadaa'i (Hijjah ya kuaga): "Wanyamazishe watu." Kisha akasema: "Msirudi baada yangu katika ukafiri kwa kuuana nyinyi kwa nyinyi." [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10834

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10834&title=07-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Mtu%20Kumsikiliza%20aliyekaa%20Nae%20Ambayo%20Sio%20Haramu%2C%20na%20Kumsikiliza%20Mwanazuoni%20na%20Mtoa%20Waadhi%20Mbele%20ya%20Mkutano%20Wake