Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hadiyth: Husnul-Khuluq (Tabia Njema) - أحادِيثُ عَنْ حُسْنِ الخُلُق > 14-Hadiyth Husnul-Khuluq: Inawatosheleza Watu Husnul-Khuluq Kulikoni Mali

14-Hadiyth Husnul-Khuluq: Inawatosheleza Watu Husnul-Khuluq Kulikoni Mali

 

Hadiyth: Husnul-Khuluq (Tabia Njema)

 

Hadiyth Ya  14

 

Inawatosheleza Watu Husnul-Khuluq Kulikoni Mali

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

وَعَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم {إِنَّكُمْ لَا تَسَعُونَ اَلنَّاسَ بِأَمْوَالِكُمْ، وَلَكِنْ لِيَسَعْهُمْ بَسْطُ اَلْوَجْهِ، وَحُسْنُ اَلْخُلُقِ} أَخْرَجَهُ أَبُو يَعْلَى، وَصَحَّحَهُ اَلْحَاكِمُ

Kutoka kwa Abuu Hurayrah (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Nyinyi hamuwezi kuwatosheleza watu kwa mali zenu, lakini iwatoshe wao kutoka kwenu uchangamfu wa uso na khulqa (tabia) njema.” [Imetolewa na Abuu Ya’laa na akaisahihisha Al-Haakim]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10869

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10869&title=14-Hadiyth%20Husnul-Khuluq%3A%20Inawatosheleza%20Watu%20Husnul-Khuluq%20Kulikoni%20Mali