Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa - أَحاديثُ عَنْ فَضْلِ الْعِلْم وَالْعُلَمَاء > 02-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Allaah Atamsahilishia Mwenye Kutafuta 'Ilmu Njia Ya Kuingia Jannah

02-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Allaah Atamsahilishia Mwenye Kutafuta 'Ilmu Njia Ya Kuingia Jannah

 

Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa

 

Hadiyth Ya 02

 

Allaah Atamsahilishia Mwenye Kutafuta ‘Ilmu Njia Ya Kuingia Jannah

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "((مَنْ سَلَكَ طَرِيقًا يَلْتَمِسُ فِيهِ عِلْمًا سَهَّلَ اللَّهُ لَهُ بِهِ طَرِيقًا إِلَى الْجَنَّةِ)) مسلم

 

 Abu Hurayrah (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesimulia: Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Yeyote anayetoka katika njia akiitafuta kutokana nayo (njia hiyo) ‘Ilmu, Allaah Humfanyia sahali njia ya kuingia Jannah (Pepon).” [Muslim]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10884

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10884&title=02-Hadiyth%3A%20Fadhila%20Za%20%27Ilmu%20Na%20%27Ulamaa%3A%20Allaah%20Atamsahilishia%20Mwenye%20Kutafuta%20%27Ilmu%20Njia%20Ya%20Kuingia%20Jannah