Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa - أَحاديثُ عَنْ فَضْلِ الْعِلْم وَالْعُلَمَاء > 11-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Allaah Amneemeshe Mtu Anayebalighisha Risala Kama Alivyosikia

11-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Allaah Amneemeshe Mtu Anayebalighisha Risala Kama Alivyosikia

Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa

 

Hadiyth Ya 11

Allaah Amneemeshe Mtu Anayebalighisha Risala Kama Alivyosikia

 

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

عن إبْنِ مَسْعُودٍ (رضي الله عنه) ِ قَالَ: سَمِعْتُ رَسُولُ الله صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَقُولُ: (( نَضَّرَ اللَّهُ امْرَأً سَمِعَ مِنَّا شَيْئًا فَبَلَّغَهُ كَمَا سَمِعَه، فَرُبَّ مُبَلِّغٍ أَوْعَى مِنْ سَامِعٍ)) وراوه الترمذي وقَالَ : حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ  

Imepokelewa toka kwa ibn Mas’uwd (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ)   ambaye amesema: Nilimsikia Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ)  akisema: ((Allaah Amneemeshe mtu aliyesikia kitu kutoka kwetu naye akakifikisha kama alivyosikia. Huenda anayefikishiwa akawa mwenye kufahamu zaidi kuliko aliyesikia)) [At-Tirmidhiy na amesema Hadiyth Hasan Swahiyh]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10893

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10893&title=11-Hadiyth%3A%20Fadhila%20Za%20%27Ilmu%20Na%20%27Ulamaa%3A%20Allaah%20Amneemeshe%20Mtu%20Anayebalighisha%20Risala%20Kama%20Alivyosikia