Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa - أَحاديثُ عَنْ فَضْلِ الْعِلْم وَالْعُلَمَاء > 21-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan

21-Hadiyth: Fadhila Za 'Ilmu Na 'Ulamaa: Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan

Hadiyth: Fadhila Za ‘Ilmu Na ‘Ulamaa

 

Hadiyth Ya 21

Aliye Mbora Kabisa Ni Mwenye Kujifunza Na Kufundisha Qur-aan

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

عن عثمانَ بن عفانَ رضي الله عنه أنَّ النبيَّ صلى الله عليه وسلّم قالَ: ((خَيرُكُم مَنْ تعَلَّمَ القُرآنَ وعَلَّمَه)) صحيح البخاريِّ

Imepokelewa kutoka kwa 'Uthmaan bin 'Affaan (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) kwamba Nabiy (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) amesema: “Mbora wenu ni yule mwenye kujifunza Qur-aan kisha akaifundisha.” [Al-Bukhaariy] 

 

Fadhila nyenginezo tele za kujifunza na kufundisha Qur-aan zinapatikana katika viungo vifuatavyo:

 

Aayaat Kuhusu Fadhila Za Qur-aan Na Umuhimu Wake [2]

 

Fadhila Za Kusoma Na Kuhifadhi Qur-aan Katika Hadiyth Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) [3]

 

Maamrisho Ya Kuisoma Qur-aan Na Kuifanyia Kazi [4]

 

 

 

 

 

 

Share [5]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10905

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9572
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/node/50
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9573
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10905&title=21-Hadiyth%3A%20Fadhila%20Za%20%27Ilmu%20Na%20%27Ulamaa%3A%20Aliye%20Mbora%20Kabisa%20Ni%20Mwenye%20Kujifunza%20Na%20Kufundisha%20Qur-aan