Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 02-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Nidhamu Ya Chakula - كِتابُ أَدَبُ الطَّعام > 07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Anachosema na Anachofanya Mwenye Kula Lakini Asishibe

07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Anachosema na Anachofanya Mwenye Kula Lakini Asishibe

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب مَا يقوله ويفعله من يأكل وَلاَ يشبع

07-Mlango Wa Anachosema na Anachofanya Mwenye Kula Lakini Asishibe

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

عن وَحْشِيِّ بن حرب رضي الله عنه : أنَّ أصحابَ رسولِ الله صلى الله عليه وسلم ، قالوا : يَا رسولَ اللهِ ، إنَّا نَأكُلُ وَلاَ نَشْبَعُ ؟ قَالَ : ((  فَلَعَلَّكُمْ تَفْتَرِقُونَ )) قالوا : نَعَمْ . قَالَ: ((  فَاجْتَمِعُوا عَلَى طَعَامِكُمْ، وَاذْكُرُوا اسْمَ اللهِ ، يُبَارَكْ لَكُمْ فِيهِ )) رواه أَبُو داود.

Imepokewa kutoka kwa Wahshiy bin Harb (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Swahaaba wa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walimuuliza: "Ee Rasuli wa Allaah! Sisi tunakula lakini hatushibi." Akasema: "Huenda nyinyi mnakula mbali mbali (kila mtu kivyake)." Wakasema: "Ndio." Akasema: "Kusanyikeni pamoja kwenye chakula chenu (kuleni pamoja) na mtaje jina la Allaah, nanyimtabarikiwa kwayo." [Abu Daawuwd]

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10966

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10966&title=07-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Anachosema%20na%20Anachofanya%20Mwenye%20Kula%20Lakini%20Asishibe