Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 05-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Maamkizi Ya Salaam - كِتابُ السَّلام > 08-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kuanza Kuwatolea Salamu Makafiri na Namna ya Kuwajibu na Kupendeza Kutoa Salamu kwa Watu wa Kikazi Czhenye Mchanganyiko wa Waislamu na Makafiri

08-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kuanza Kuwatolea Salamu Makafiri na Namna ya Kuwajibu na Kupendeza Kutoa Salamu kwa Watu wa Kikazi Czhenye Mchanganyiko wa Waislamu na Makafiri

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

 

باب تحريم ابتدائنا الكافر بالسلام وكيفية الرد عليهم

واستحباب السلام عَلَى أهل مجلسٍ فيهم مسلمون وكفار

08-Mlango Wa Uharamu wa Kuanza Kuwatolea Salamu Makafiri na Namna ya Kuwajibu na Kupendeza Kutoa Salamu kwa Watu wa Kikazi Czhenye Mchanganyiko wa Waislamu na Makafiri

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

Hadiyth – 1

وعن أَبي هريرة رضي الله عنه : أنَّ رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( لاَ تَبْدَأُوا اليَهُودَ وَلاَ النَّصَارَى بالسَّلامِ ، فَإِذَا لَقِيتُمْ أَحَدَهُمْ في طَرِيق فَاضطَرُّوهُ إِلَى أَضْيَقِهِ )) رواه مسلم .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Musianze kuwatolea salamu Mayahudi na Manasara. Munapokutana na mmoja wao walazimisheni kuitia pambizoni mwa njia (wadhikini katika kupita kwao barabarani)." [Muslim]

 

 

Hadiyth – 2

وعن أنسٍ رضي الله عنه ، قَالَ : قَالَ رسول الله صلى الله عليه وسلم : (( إِذَا سَلَّمَ عَلَيْكُمْ أهْلُ الكِتَابِ فَقُولُوا : وَعَلَيْكُمْ )) متفقٌ عَلَيْهِ .

Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Wanapo wasalimia Ahlul Kitaab, wajibuni: 'Wa 'alaykum (Nanyi iwe juu yenu)' " [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy]

 

 

Hadiyth – 3

وعن أُسَامَة رضي الله عنه : أنَّ النَّبيَّ صلى الله عليه وسلم مَرَّ عَلَى مَجْلِسٍ فِيهِ أخْلاَطٌ مِنَ المُسْلِمِينَ وَالمُشْرِكينَ – عَبَدَة الأَوْثَانِ - واليَهُودِ فَسَلَّمَ عَلَيْهِم النبيُّصلى الله عليه وسلم . متفقٌ عَلَيْهِ .

Imepokewa kutoka kwa Usamah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipita katika baraza iliyokuwa na mchanganyiko wa Waislamu na Mushirikina - wanao abudu masanamu na Mayahudi, naye akawatolea salamu." [Al-Bukhaariy, Muslim na At-Tirmidhiy]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11029

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11029&title=08-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Uharamu%20wa%20Kuanza%20Kuwatolea%20Salamu%20Makafiri%20na%20Namna%20ya%20Kuwajibu%20na%20Kupendeza%20Kutoa%20Salamu%20kwa%20Watu%20wa%20Kikazi%20Czhenye%20Mchanganyiko%20wa%20Waislamu%20na%20Makafiri