Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 05-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Maamkizi Ya Salaam - كِتابُ السَّلام > 09-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendeza Kutoa Salamu Unapofika na Kuondoka Katika Kikazi au Kuwaacha Wakazi Wake

09-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendeza Kutoa Salamu Unapofika na Kuondoka Katika Kikazi au Kuwaacha Wakazi Wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

 

باب استحباب السلام إِذَا قام من المجلس

وفارق جلساءه أَوْ جليسه

09-Mlango Wa Kupendeza Kutoa Salamu Unapofika na Kuondoka Katika Kikazi au Kuwaacha Wakazi Wake

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

وعن أَبي هريرة رضي الله عنه ، قَالَ : قَالَ رسول الله صلى الله عليه وسلم : (( إِذَا انْتَهى أَحَدُكُمْ إِلَى المَجْلِسِ فَلْيُسَلِّمْ ، فَإذَا أرَادَ أنْ يَقُومَ فَلْيُسَلِّمْ ، فَلَيْسَتِ الأُولَى بِأحَقّ مِنَ الآخِرَةِ )) رواه أَبُو داود والترمذي ، وقال : (( حديث حسن )) .

Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Anapofika mmoja wenu katika kikazi atoe salamu na akitaka kuondoka pia atoe salamu. Hiyo ni kwa sababu salamu ya kwanza si bora kuliko ya mwisho." [Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy, na akasema ni Hadiyth Hasan]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11030

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11030&title=09-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kupendeza%20Kutoa%20Salamu%20Unapofika%20na%20Kuondoka%20Katika%20Kikazi%20au%20Kuwaacha%20Wakazi%20Wake