Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Nidhamu Za Safari - كِتابُ آداب السَّفر > 07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusuniwa Duaa Katika Safari

07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusuniwa Duaa Katika Safari

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب استحباب الدعاء في السفر

07-Mlango Wa Kusuniwa Duaa Katika Safari

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

وعن أَبي هريرة رضي اللهُ عنه ، قَالَ : قَالَ رسولُ الله صلى الله عليه وسلم : ((  ثلاثُ دَعَوَاتٍ مُسْتَجَابَات لاَ شَكَّ فِيهِنَّ : دَعْوَةُ المَظْلُومِ ، وَدَعْوَةُ المُسَافِرِ ، وَدَعْوَةُ الوَالِدِ عَلَى وَلَدِهِ )) رواه أَبُو داود والترمذي ، وقال : (( حديث حسن )) . وليس في رواية أَبي داود : ((  عَلَى وَلَدِهِ )) .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Maombi matatu ni yenye kujibiwa hapana shaka yoyote. Maombi ya mwenye kudhulimiwa na maombi ya msafiri na maombi ya mzazi juu ya mtoto wake." [Abu Daawuw na At-Tirmidhiy, na akasema ni Hadiyth Hasan na hakina katika riwaayah ya Abuu Daawuwd: "Juu ya mtoto wake."]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11081

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11081&title=07-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kusuniwa%20Duaa%20Katika%20Safari