Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 07-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Nidhamu Za Safari - كِتابُ آداب السَّفر > 10-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendekezwa Kurudi Haraka Msafiri kwa Familia Yake Anapomaliza Haja Yake

10-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendekezwa Kurudi Haraka Msafiri kwa Familia Yake Anapomaliza Haja Yake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب استحباب تعجيل المسافرالرجوع إِلَى أهله إِذَا قضى حاجته

10-Mlango Wa Kupendekezwa Kurudi Haraka Msafiri kwa Familia Yake Anapomaliza Haja Yake

 

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

عن أَبي هريرة رضي اللهُ عنه : أنَّ رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : ((  السَّفَرُ قِطْعَةٌ مِنَ العَذَابِ، يَمْنَعُ أحَدَكُمْ طَعَامَهُ وَشَرابَهُ وَنَوْمَهُ، فَإذَا قَضَى أحَدُكُمْ نَهْمَتَهُ مِنْ سَفَرِهِ ، فَلْيُعَجِّلْ إِلَى أهْلِهِ )) متفقٌ عَلَيْهِ .

Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Safari ni kipande cha adhabu, inamzuia mmoja wenu chakula chake, kinywaji chake na usingizi wake. Hivyo, mmoja wenu atakapomaliza haja yake katika safari yake, na arudi haraka kwa watu wake." [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11084

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11084&title=10-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kupendekezwa%20Kurudi%20Haraka%20Msafiri%20kwa%20Familia%20Yake%20Anapomaliza%20Haja%20Yake