Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 08-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبة - Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji > 020-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

020-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبةِ وَمَا يَتَعَلَّقُ بِهِمَا

 

 Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji Na Yanayohusiana Na Viwili Hivi

 

Alhidaaya.com [1]

 

Adabu Za Kula

 

 

020-Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

 

 

 

 

4-  Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

 

Toka kwa Ibn ‘Abbaas (Radhwiya Allaah ‘anhumaa) toka kwa Rasuli (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:

 

"الْبَرَكَة تَنْزِلُ فِيْ وَسَطِ الطَّعَامِ ، فَكُلُوا مِنْ حَافَتَيْهِ ، وَلاَ تَأْكُلُوا مِنْ وَسَطِهِ" ‏

 

“Baraka inateremka katikati ya chakula, basi kuleni toka pambizo zake, na msile toka katikati yake”.  [Hadiyth Swahiyh.  Imekharijiwa na Abu Daawuwd (3772), Ibn Maajah (3277) na Ahmad (1/343-345)].

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11179

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11179&title=020-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Vyakula%20Na%20Vinywaji%3A%20Kula%20Toka%20Pembezoni%20Mwa%20Chakula%20Na%20Si%20Kutoka%20Katikati%20Yake