Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 08-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبة - Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji > 024-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Kulila Tonge Likianguka Baada Ya Kulipangusa Uchafu

024-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Kulila Tonge Likianguka Baada Ya Kulipangusa Uchafu

 

 

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبةِ وَمَا يَتَعَلَّقُ بِهِمَا

 

 Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji Na Yanayohusiana Na Viwili Hivi

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

Adabu Za Kula

 

024-Kulila Tonge –Likianguka- Baada Ya Kulipangusa Uchafu

 

 

 

 

8-  Kulila Tonge –Likianguka- Baada Ya Kulipangusa Uchafu

 

 

Toka kwa Jaabir amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:

 

"إِذَا وَقَعَتْ لُقْمَةُ أَحَدِكُمْ فَلْيَأْخُذْهَا ، فَلْيُمِطْ مَا كَانَ بِهَا مِنَ الأَذَى وَلْيَأْكُلْهَا ، وَلاَ يَدَعْهَا لِلشَّيْطَانِ‏"

“Likianguka tonge la mmoja wenu basi aliokote, kisha alipanguse uchafu uliolipata na alile, na wala asiliache kwa shaytwaan.”  [Hadiyth Swahiyh.  Imekharijiwa na Muslim (2033)].

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11183

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11183&title=024-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Vyakula%20Na%20Vinywaji%3A%20Kulila%20Tonge%20Likianguka%20Baada%20Ya%20Kulipangusa%20Uchafu%20