Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 09B-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتابُ اللِّباسِ وَالزِّينَةِ وَأَحْكامِ النَّظَر - Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: لِبَاسُ المَرْأَةِ Kivazi Cha Mwanamke > 13-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Kivazi Cha Mwanamke: Inajuzu Mwanamke Kupakiwa Nyuma Ya Mwanaume Ambaye Ni Maharimu Wake

13-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Kivazi Cha Mwanamke: Inajuzu Mwanamke Kupakiwa Nyuma Ya Mwanaume Ambaye Ni Maharimu Wake

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ اللِّبَاسِ وَالزِّيْنَةِ  وَأَحْكَامُ النَّظَرِ

 

 Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia 

  

لِبَاسُ المَرْأَةِ

Kivazi Cha Mwanamke 

 

 

 

Alhidaaya.com [1] 

 

 

 

013-Inajuzu Mwanamke Kupakiwa Nyuma Ya Mwanaume Ambaye Ni Maharimu Wake:

 

Ni kwa Hadiyth ya Anas ambaye amesema: 

 

"كُنَّا مَعَ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مَقْفَلَهُ مِنْ عُسْفَانَ، وَرَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ عَلَى رَاحِلَتِهِ، وَقَدْ أَرْدَفَ صَفِيَّةَ بِنْتَ حُيَىٍّ، فَعَثَرَتْ نَاقَتُهُ فَصُرِعَا جَمِيعًا"

 

“Tulikuwa tunarudi pamoja na Nabiy (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) toka ‘Usfaan.  Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa amempanda ngamia wake na amempakia nyuma yake (mkewe) Swafiyyah bint Huyay.  Na mara ghafla ngamia wake akajikwaa na wote wawili wakaanguka chini.  [Al-Bukhaariy (3085) na Muslim (1345)].

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11525

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11525&title=13-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Mavazi%20Na%20Mapambo%20Na%20Hukmu%20Za%20Kuangalia%3A%20Kivazi%20Cha%20Mwanamke%3A%20Inajuzu%20Mwanamke%20Kupakiwa%20Nyuma%20Ya%20Mwanaume%20Ambaye%20Ni%20Maharimu%20Wake%20