Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 09C-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتابُ اللِّباسِ وَالزِّينَةِ وَأَحْكامِ النَّظَر - Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: أَحْكَامُ النَّظَرِ Hukmu Za Kuangalia > 10-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Inaruhusiwa Mwanamke Kumsalimia Mwanaume Na Kinyume Chake Lakini Bila Kupeana Mikono

10-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia: Hukumu Za Kuangalia: Inaruhusiwa Mwanamke Kumsalimia Mwanaume Na Kinyume Chake Lakini Bila Kupeana Mikono

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ اللِّبَاسِ وَالزِّيْنَةِ  وَأَحْكَامُ النَّظَرِ

 

 Kitabu Cha Mavazi Na Mapambo Na Hukmu Za Kuangalia 

  

 

أَحْكَامُ النَّظَرِ

Hukumu Za Kuangalia 

  

Alhidaaya.com [1] 

 

 

 

10-Inaruhusiwa Mwanamke Kumsalimia Mwanaume Na Kinyume Chake Lakini Bila Kupeana Mikono:

 

Ummu Haani:

 

"ذَهَبْتُ إِلَى رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ عَامَ الْفَتْحِ فَوَجَدْتُهُ يَغْتَسِلُ، وَفَاطِمَةُ ابْنَتُهُ تَسْتُرُهُ فَسَلَّمْتُ عَلَيْهِ" ‏

 

“Nilikwenda kwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) mwaka ule Makkah ilipokombolewa.  Nikamkuta anaoga na binti yake Faatwimah amemwekea pazia, nikamsalimia”.  [Al-Bukhaariy (3171) na Muslim (336)].

 

Hadiyth inatufunza kwamba mwanamke anaweza kumsalimia mwanaume bila kupeana mkono, lakini kama mazingira ya fitnah hayapo. 

 

Na pia mwanaume anaruhusiwa kumsalimia mwanamke bila kupeana mkono.  Asmaa bint Yaziyd amesema:

 

" أَنَّ رَسُولَ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مَرَّ فِي المَسْجِدِ يومًا، وعُصْبَةٌ منَ النِّسَاءِ قُعُوْدٌ، فَأَلْوَى بِيَدِهِ بالتسليم‏‏‏"

 

“Kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alipita siku moja Msikitini na kundi la wanawake likiwa limekaa humo.  Akawasalimia na kuwaashiria kwa mkono wake”.  [At-Tirmidhiy (2697), Abu Daawuwd (5204), Ibn Maajah (3701)].

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11634

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11634&title=10-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Mavazi%20Na%20Mapambo%20Na%20Hukmu%20Za%20Kuangalia%3A%20Hukumu%20Za%20Kuangalia%3A%20Inaruhusiwa%20Mwanamke%20Kumsalimia%20Mwanaume%20Na%20Kinyume%20Chake%20Lakini%20Bila%20Kupeana%20Mikono%20