Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 10B-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: الخِطْبَةُ وأَحْكَامُهَا Posa Na Hukumu Zake > 11-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Posa Na Hukumu Zake: Istikhaarah Kwa Ajili Ya Posa

11-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Posa Na Hukumu Zake: Istikhaarah Kwa Ajili Ya Posa

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الزَّوَاجِ

 

Kitabu Cha Ndoa

 

 

الخِطْبَةُ وأَحْكَامُهَا

 

Posa Na Hukumu Zake

 

 

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

11:   Istikhaarah Kwa Ajili Ya Posa:

 

Inapendeza kwa mposaji na mposwa kuswali swalaatul istikhaarah kwa ajili ya jambo la ndoa.  Kila mmoja ataswali kumhusu mwenzake, wakati mwafaka wa ndoa na mfano wa hayo.  Katika mlango wa swalah, swalatul istikhaarah imeelezewa kimapana pamoja na baadhi ya adabu zake.  Imesuniwa kuomba duaa ya istikhaarah kwa ikhlaas, kuikithirisha na kuihimizia.  Na hakuna ubaya kuiswali zaidi ya mara moja, kwa kuwa ni du’aa. 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11873

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11873&title=11-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Ndoa%3A%20Posa%20Na%20Hukumu%20Zake%3A%20Istikhaarah%20Kwa%20Ajili%20Ya%20Posa