Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 10E-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: الصَّدَاقُ: Mahari > 04-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Mahari: Mahari Ni Haki Ya Mwanamke Na Si Mawalii Wake

04-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Mahari: Mahari Ni Haki Ya Mwanamke Na Si Mawalii Wake

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الزَّوَاجِ

 

Kitabu Cha Ndoa

 

الصَّدَاقُ

 

Mahari

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

04:  Mahari Ni Haki Ya Mwanamke Na Si Mawalii Wake:

 

 

 

Ni kwa Neno Lake Ta’aalaa: 

 

"وَآتُوا النِّسَاءَ صَدُقَاتِهِنَّ نِحْلَةً"

 

“Na wapeni wanawake mahari zao kwa maridhawa.”  [An-Nisaa: 04]

 

Na Kauli Yake:

 

"فَمَا اسْتَمْتَعْتُم بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً"

 

“Basi mliostarehe nao, wapeni mahari yao kuwa ni waajib”.  [An-Nisaa: 24]

 

Pamoja na Aayaat nyinginezo zinazoonyesha kwamba mahari ni haki ya mwanamke.  Hivyo si halali kwa baba yake wala mwingine yeyote kuchukua chochote katika mahari yake bila idhini yake.  Na kwa ajili hiyo, Mashaafi’iy na Mahanbali wanasema kwamba haijuzu kwa mume kulipa mahari kwa asiye mke au mwakilishi wake au yeyote aliyeidhinisha apokee.

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11963

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11963&title=04-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Ndoa%3A%20Mahari%3A%20Mahari%20Ni%20Haki%20Ya%20Mwanamke%20Na%20Si%20Mawalii%20Wake