Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 10E-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: الصَّدَاقُ: Mahari > 13-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Mahari: Ikiwa Zitatajwa Mahari Mbili

13-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Mahari: Ikiwa Zitatajwa Mahari Mbili

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الزَّوَاجِ

 

Kitabu Cha Ndoa

 

 

الصَّدَاقُ

 

Mahari

 

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

 

13:   Ikiwa Zitatajwa Mahari Mbili:

 

 

 

Ikiwa watu wa mke watamtaka mume ataje mahari mbili; moja kwa ajili ya ‘aqdi, na nyingine kwa ajili ya kutangazwa hadhirani kwa lengo la kujifaharishia kwa watu na si kwamba ndio inayomlazimu kutoa, hapa Jumhuwr ya ‘Ulamaa -kinyume na Mahanbali- wanasema kwamba atatoa iliyobainishwa kwenye ‘aqdi, na si ile iliyotangazwa mbele za watu.  Ni chaguo pia la Sheikh wa Uislamu.

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11972

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11972&title=13-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Ndoa%3A%20Mahari%3A%20Ikiwa%20Zitatajwa%20Mahari%20Mbili