Swahiyh Fiqh As-Sunnah
كِتَابُ الزَّوَاجِ
Kitabu Cha Ndoa
الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ
Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume
Alhidaaya.com [1]
17: Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: 14-Mume Ajipambe Kwa Mkewe Kama Mkewe Anavyojipamba Kwa Ajili Yake:
Ibn ‘Abbaas amesema:
"إني لأحِبُّ أَنْ أَتَزَيَّنَ لِلْمَرْأَةِ كَمَا أُحِبُّ أَنْ تَتَزَيَّنَ لِيْ، لأَنَّ اللهَ تعالى يَقُوْلُ":
“Mimi kwa hakika ninapenda kujipamba kwa mke wangu kama ninavyopenda yeye kujipamba kwa ajili yangu. Kwa sababu Allaah Ta’aalaa Anasema:
"وَلَهُنَّ مِثْلُ الَّذِي عَلَيْهِنَّ بِالْمَعْرُوفِ"
“Nao wake wana haki kama ambayo (ya waume zao) iliyo juu yao kwa mujibu wa shariy’ah”. [Al-Baqarah: 228]
Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F12049&title=18-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Ndoa%3A%20Haki%20Za%20Kutendeana%20Kati%20Ya%20Mke%20Na%20Mume%3A%20%28ii%29%20Haki%20Zinazompasa%20Mume%20Kumtendea%20Mkewe%3A%20Mume%20Ajipambe%20Kwa%20Mkewe%20Kama%20Mkewe%20Anavyojipamba%20Kwa%20Ajili%20Yake