Swahiyh Fiqh As-Sunnah
كِتَابُ الزَّوَاجِ
Kitabu Cha Ndoa
الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ
Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume
Alhidaaya.com [1]
19: Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: 16-Afanye Usawa Kati Yake Na Wake Wenza Wenzake Katika Chakula, Vinywaji, Mavazi Na Malazi:
Kutenda usawa kati ya wake ni jambo la waajib katika chakula, mavazi, nyumba na zamu za kulala. Ama penzi, hilo liko nje ya uwezo wa kibinadamu, halidhibitiki.
Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F12051&title=20-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Kitabu%20Cha%20Ndoa%3A%20Haki%20Za%20Kutendeana%20Kati%20Ya%20Mke%20Na%20Mume%3A%20%28ii%29%20Haki%20Zinazompasa%20Mume%20Kumtendea%20Mkewe%3A%20Afanye%20Usawa%20Kati%20Yake%20Na%20Wake%20Wenza%20Wenzake%20Katika%20Chakula%2C%20Vinywaji%2C%20Mavazi%20Na%20Malazi