Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr > 05-Fatwa: Kuwakilisha Katika Kulipa Zakaatul-Fitwr

05-Fatwa: Kuwakilisha Katika Kulipa Zakaatul-Fitwr

 

Kuwakilisha Katika Kulipa Zakaatul-Fitwr

 

 www.alhidaaya.com [1]

 

SWALI:

 

Baadhi ya miskiti wanaashiria kupokea kiwango cha Zakaatul-Fitwr kutoka kwa watu ili wagawe kwa wanaohitaji kwa ajili yao. Hugawa  chakula kama mchele, unga n.k. Je, desturi hii ni sawa?

 

 

JIBU:

 

AlhamduliLLaah

 

Kwa vile imekusudiwa kununua na kugawa bidhaa  kwa wanaohitaji (hizo bidhaa) kwa ajili yao, hivya ni sawa na watapa thawabu In Shaa Allaah.

 

Na Allaah Anajua zaidi

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1925

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1925&title=05-Fatwa%3A%20Kuwakilisha%20Katika%20Kulipa%20Zakaatul-Fitwr%20%20