Ukurasa Wa Kwanza /Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr
Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr
- 01-Fatwa: Hairuhusiwi Kumpa Zakaatul-Fitwr Mtu Ambaye Umewajibika Kumuhudumia
- 02-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Apewe Nani?
- 03-Fatwa: Mtoto Ana Uwezo Mzuri Wa Kifedha Lakini Baba Anashikilia Kumtolea Zakaatul-Fitwr
- 04-Fatwa: Zakaatul-Fitwr Ni Chakula, Si Pesa Na Itolewe Kwa Waislamu Wanaohitaji Pekee
- 05-Fatwa: Kuwakilisha Katika Kulipa Zakaatul-Fitwr
- 06-Fatwa: Wapi Itolewe Zakaatul-Fitwr?
- 07-Fatwa: Inafaa Kutoa Zakaatul-Fitwr Kwa Familia Ya Mkewe Ambao Wanahitaji?
- 08-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?
- 09-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuna Du'aa Ya Kusomwa Inapotolewa Zakaatul-Fitwr?
- 10-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Ni Fardhi Kwa Masikini Pamoja Na Familia Yake?
- 11-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Hukmu Ya Asiyelipa Zakaatul-Fitwr Japokuwa Ana Uwezo
- 12-Fatwa: Kutoa Kiwango Cha Zakaatul-Fitwr Katika Vyama Vya Misaada Mwanzo Wa Ramadhwaan
- 13-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Hukmu Ya Zakaatul-Fitwr, Na Ni Kiasi Gani Ilipwe?
- 14-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Kwa Aliyefariki Kabla Au Baada Ya Magharibi Siku Ya Mwisho Ramadhwaan
- 15-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Kwa Ajili Ya Mtoto Aliye Tumboni
- 16-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Inafaa Mtoto Wa Kike Kumlipa Baba Yake Zakaatul-Fitwr?
- 17-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kugawa Zakaatul-Fitwr Kwa Wanaoomba Njiani Japokuwa Hawastahiki
- 18-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuichelewesha Zakaatul-Fitwr
- 19-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuongeza Kitu Ziada Katika Zakaatul-Fitwr
- 20-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kamlipia Zakaatul-Fitwr Mtoto Aliye Tumboni Akaja Kujua Kwamba Ni Mapacha
- 21-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuwalipia Zakaatul-Fitwr Wafanyakazi
- 22-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Mume Na Mke Wamekhasimiana Je, Amlipie Mkewe Zakaatul-Fitwr?
- 23-Fatwa: Kuwalipia Watumishi Wa Nyumbani Wasio Waislamu Zakaatul-Fitwr
- 24-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Wakati Gani Zakaatul-Fitwr Itolewe? Na Muda Gani Mwisho Kutoa?
- 25-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Markaz Kununua Chakula Cha Zakaatul-Fitwr Mapema Ili Kuwuazia Waislamu
- 26-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Hukmu Ya Kukanusha Zakaatul-Fitwr
- 27-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Masikini Wanapendekeza Kupewa Pesa Badala Ya Chakula Cha Zakaatul-Fitwr
- 28-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kuwapa Zakaatul-Fitwr Jamaa
- 29-Fatwa: Inaruhusiwa kuhamisha Zakaatul-Fitwr Kutoka Nchi Kwenda Nchi Nyingine?
- 30-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kuwatolea Zakaatul-Fitwr Familia Hata Kama Wameshajitolea
- 31-Fatwa: Ni Kweli Swawm Inanin'ginia Baina Ya Mbingu na Ardhi Hadi Mtu Atoe Zakaatul-Fitwr?
- 32-Fatwa: Kutoa Nyama Kwa Ajili Ya Zakaatul-Fitwr
- 33-Fatwa: Zakaatul-Fitwr Imewajibika Kwa Mtu Asiyefunga Ramadhaan Kwa Dharua
- 34-Fatwa: Inaruhusiwa Kumpa Zakaatul-Fitwr Mama Wakubwa Na Wadogo?
- 35-Fatwa: Hakuna Masikini Wanakoishi. Je Watume Zakaatul-Fitwr Nchi Nyingine?