Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr > 08-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?

08-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?

 

 

Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Je, Zakaatul-Fitwr ni kwa ajili ya mtu mmoja pekee au igaiwe kwa wengi?

 

JIBU:

 

AlhamduliLLaah

 

 

Inaruhusiwa kutoa Zakaatul-Fitwr kwa mtu mmoja kwa ajili ya mtu   mmoja na inaruhusiwa pia kuigawa kwa watu zaidi ya mmoja.

 

Na Allaah ni Mweza wa yote.

 

[Fataawaa Al-Lajnah (1204)]

 

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1928

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1928&title=08-Al-Lajnah%20Ad-Daaimah%3A%20Zakaatul-Fitwr%20Igaiwe%20Kwa%20Mtu%20Mmoja%20Au%20Watu%20Mbali%20Mbali%3F