Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr > 21-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuwalipia Zakaatul-Fitwr Wafanyakazi

21-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuwalipia Zakaatul-Fitwr Wafanyakazi

 

 

Kuwalipia Zakaatul-Fitwr Wafanyakazi

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

SWALI:

 

Tuna kiwanda na shamba ambamo kuna wafanyakazi wanaolipwa mishahara. Je tuwalipe Zakaatul-Fitwr au wajilipe wenyewe?

 

JIBU:

 

Wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara kwa kibarua chao katika kiwanda au shamba wanapaswa kujilipia wenyewe Zakaatul-Fitwr kwa sababu hukmu ya asili ni kwamba imewajibika kwako. (Hivyo hupasi wewe kuwalipia)

 

Wa biLLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyina Muhammad wa aalihi wa Swahbihi wa sallam.

 

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (9/372)]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1941

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1941&title=21-Al-Lajnah%20Ad-Daaimah%3A%20Kuwalipia%20Zakaatul-Fitwr%20Wafanyakazi