Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr > 25-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Markaz Kununua Chakula Cha Zakaatul-Fitwr Mapema Ili Kuwuazia Waislamu

25-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Markaz Kununua Chakula Cha Zakaatul-Fitwr Mapema Ili Kuwuazia Waislamu

 

Markaz Za Kiislamu Kununua Chakula Cha Zakaatul-Fitwr Mapema Ili Kuwuazia Waislamu

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

SWALI:

 

Markazi za Kiislamu nchi za Magharibi inataka kununua  vyakula kama mchele, mapema sana kabla ya 'Iyd tuseme siku kumi kabla. Kisha watatangaza kuwa wako tayari kupokea pesa za Zakaatul-Fitwr kutoka kwa Waislamu ili wazigawe kwa ajili yao. Hii ni kwa sababu haiwezekani kununua kiasi ya chakula wakipokea pesa siku mbli kabla ya 'Iyd. Nini Hukmu Yake? 

 

JIBU:

 

Hakuna ubaya kwa Markazi kununua chakula mapema kisha kuwauzia wanaotaka kununua Zakaatul-Fitwr kisha kuigawa kabla ya wakati wake.

 

[Imaam Ibn ‘Uthaymiyn [Fataawaa (71475)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/1946

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1946&title=25-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Markaz%20Kununua%20Chakula%20Cha%20Zakaatul-Fitwr%20Mapema%20Ili%20Kuwuazia%20Waislamu