Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 10-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Allaah Yuko wapi?

10-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Allaah Yuko wapi?

Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

10-Je, Allaah Yuko wapi?

 

Allaah Yuko mbinguni juu ya ‘Arsh.

الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ ﴿٥﴾

Ar-Rahmaan juu ya ‘Arshi Istawaa [Twaahaa: 5]

 

Maana ya Istawaa: Yuko juu kwa namna inayolingana na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah.

 

((إِنَّ اللَّهَ كَتَبَ كِتَابًا : إِنَّ رَحْمَتِي سَبَقَتْ غَضَبِي، فَهُوَمكتوبٌ عِنْدَهُ فَوْقَ الْعَرْشِ))   البخاري

((Hakika Allaah Ameandika maandishi kwamba: “Rahmah yangu imeshinda ghadhabu yangu, nayo yameandikwa kumhusu Yeye juu ya 'Arsh)) [Al-Bukhaariy]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7768

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7768&title=10-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20Allaah%20Yuko%20wapi%3F