Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 17-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Nini hukumu ya kumuomba asiye Allaah kama Mawalii?

17-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Nini hukumu ya kumuomba asiye Allaah kama Mawalii?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

17-Nini hukumu ya kumuomba asiye Allaah kama Mawalii?

 

 

Hukmu ya kuwaomba ‘Mawalii’ ni shirki yenye kumpeleka mtu motoni.

 

فَلَا تَدْعُ مَعَ اللَّـهِ إِلَـٰهًا آخَرَ فَتَكُونَ مِنَ الْمُعَذَّبِينَ ﴿٢١٣﴾

Basi usiombe pamoja na Allaah mwabudiwa mwengine ukaja kuwa miongoni mwa watakaoadhibiwa. [Ash-Shu’araa: 213]

 

((من ماتَ وَهُوَ يدعو مِن دون الله نِدّاً دخل النّار)) رواه البخاري

((Atakayefariki katika hali ya kumuomba asiye Allaah ataingia motoni)) [Al-Bukhaariy]

 

 

Mawalii:  Waliokusudiwa hapa ni watu wema waliofariki wakaombwa wao makubirini badala ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) au wakatumiliwa kama ni tawassul ya kujikurubisha kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa). 

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7775

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7775&title=17-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Nini%20hukumu%20ya%20kumuomba%20asiye%20Allaah%20kama%20Mawalii%3F