Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 19-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, waliokufa wanasikia wito?

19-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, waliokufa wanasikia wito?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

19- Je, waliokufa wanasikia wito?

 

Hapana! Waliokufa hawasikii wito.

 

إِنَّكَ لَا تُسْمِعُ الْمَوْتَىٰ

Hakika wewe huwezi kusikilizisha wafu [An-Naml: 80]. 

 

 وَمَا أَنتَ بِمُسْمِعٍ مَّن فِي الْقُبُورِ ﴿٢٢﴾

Nawe huwezi kuwasikilizisha walioko kaburini. [Faatwir: 22]

 

((إنَّ لِلَّهِ ملائكةً سَيّاحِين فِي الأرْضِ يُبَلّغوني عَنْ أُمّتي السَّلام)) رواه أحمد

((Hakika Allaah Anao Malaika wanaozunguka katika ardhi wakinifikishia salaam kutoka kwa ummah wangu)) [Ahmad]

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7777

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7777&title=19-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20waliokufa%20wanasikia%20wito%3F