Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 23-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Inajuzu kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Allaah?

23-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Inajuzu kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Allaah?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

23 Je, Inajuzu kuweka nadhiri kwa asiyekuwa Allaah?

 

Hapana! Haijuzu kuweka nadhiri isipokuwa kwa sababu ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa).

 

رَبِّ إِنِّي نَذَرْتُ لَكَ مَا فِي بَطْنِي مُحَرَّرًا فَتَقَبَّلْ مِنِّي ۖ   

 “Rabb wangu, hakika mimi nimeweka nadhiri Kwako kilichomo katika tumbo langu kuwa ni wakfu kukutumikia, basi nitakabalie. [Aal-‘Imraan: 35]

 

((مَنْ نَذَرَ أَنْ يُطِيعَ اللَّهَ فَلْيُطِعْهُ ، وَمَنْ نَذَرَ أَنْ يَعْصِيَهُ فَلَا يَعْصِهِ))رواه البخاري

((Anayeweka nadhiri kumtii Allaah basi amtii, na aliyeweka nadhiri kumuasi Allaah basi asimuasi)) [Al-Bukhaariy]

 

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7782

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7782&title=23-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20Inajuzu%20kuweka%20nadhiri%20kwa%20asiyekuwa%20Allaah%3F