Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 35-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Inajuzu kutundika au kuvaa hirizi?

35-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Inajuzu kutundika au kuvaa hirizi?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

35-Je, Inajuzu kutundika au kuvaa hirizi?

 

Hapana! Haijuzu kutundika au kuvaa hirzi kwa sababu ni shirki.

 

وَإِن يَمْسَسْكَ اللَّـهُ بِضُرٍّ فَلَا كَاشِفَ لَهُ إِلَّا هُوَ ۖ

Na Allaah Akikugusisha kwa dhara, basi hakuna yeyote wa kukuondolea hiyo isipokuwa Yeye [Al-An’aam: 17]

 

((من علّق تميمةً فَقَدْ اشرك)) صحيح رواه أحمد

((Atakayetundika hirizi, atakuwa ameshirikisha Allaah)) [Hadiyth Swahiyh ameipokea Ahmad]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7795

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7795&title=35-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20Inajuzu%20kutundika%20au%20kuvaa%20hirizi%3F