Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 36-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Tunatakiwa tutawassal kwa Allaah kwa vipi?

36-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Tunatakiwa tutawassal kwa Allaah kwa vipi?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

36-Je, Tunatakiwa tutawassal kwa Allaah kwa vipi?

 

Tunapaswa kutawassal kujikurubisha Kwake kwa kutaja majina Yake Mazuri, na Sifa Zake, na ‘amali njema zetu.

وَلِلَّـهِ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنَىٰ فَادْعُوهُ بِهَا ۖ

 

Na Allaah Ana Majina Mazuri kabisa, basi muombeni kwayo.  [Al-A’raaf: 180]

 

((أَسْأَلُكَ بِكُلِّ اسْمٍ هُوَ لَكَ سَمَّيْتَ بِهِ نَفْسَكَ)) صحيح رواه أحمد  - صححه الألباني في السلسلة الصحيحة (199)

 ((Nakuomba kwa kila Jina ambalo ni Lako Ulilojiita Mwenyewe)) [Hadiyth Swahiyh ameipokea Ahmad na ameisahihisha Al-Albaaniy katika Silsilah Asw-Swahiyhah (199)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7796

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7796&title=36-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20Tunatakiwa%20tutawassal%20kwa%20Allaah%20kwa%20vipi%3F