Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 46-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Inafaa kufanya urafiki na makafiri na kuwasaidia?

46-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Inafaa kufanya urafiki na makafiri na kuwasaidia?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

46-Je, Inafaa kufanya urafiki na makafiri na kuwasaidia?

 

Hapana! Haifai kufanya urafiki na kuwaandama makafiri na kuwasaidia.

 

 وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ

 Na yeyote atakayewafanya marafiki wao wandani; basi hakika yeye ni miongoni mwao.  [Al-Maaidah: 51]

 

((إنَّ آلَ أَبِي فُلَانٍ لَيْسُوا لِي بأولياء))  متّفق عَلَيهِ

لأنّهم من الكفّار

((Hakika watu wa kabila fulani si vipenzi vyangu))[Al-Bukhaariy, Muslim]

 

Kwa sababu wao ni makafiri.

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7806

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7806&title=46-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Je%2C%20Inafaa%20kufanya%20urafiki%20na%20makafiri%20na%20kuwasaidia%3F