Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 52-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Nini Bid'ah katika Dini?

52-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Nini Bid'ah katika Dini?

Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

52-Nini Bid'ah katika Dini?

 

Bid’ah katika Dini ni kila kilichokuwa hakina dalili katika Shariy’ah ya Dini.

 

أَمْ لَهُمْ شُرَكَاءُ شَرَعُوا لَهُم مِّنَ الدِّينِ مَا لَمْ يَأْذَن بِهِ اللَّـهُ ۚ

Je, wanao washirika waliowaamuru Dini yale ambayo Allaah Hakuyatolea idhini? [Ash-Shuwraa: 21]

 

((مَنْ أَحْدَثَ فِيْ أَمْرِنَا هَذَا مَا لَيْسَ مِنْهُ فَهُوَ رَدٌّ)) متّفق عَلَيهِ

Atakayezusha katika mambo yetu haya (Dini yetu) yasiyokuwemo basi kitarudishwa)) [Al-Bukhaariy, Muslim]

 

Yaani: Hakitokubaliwa kitendo chake

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7812

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7812&title=52-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Nini%20Bid%27ah%20katika%20Dini%3F