Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu > 59-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Nini hukmu ya anayesema kuwa Qur-aan imepotoshwa?

59-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Nini hukmu ya anayesema kuwa Qur-aan imepotoshwa?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com [1]

 

 

 

 

 

59-Nini hukmu ya anayesema kuwa Qur-aan imepotoshwa?

 

Anayesema kuwa Qur-aan impotoshwa ni kafiri.

 

إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ ﴿٩﴾

Hakika Sisi Tumeteremsha Adh-Dhikra (Qur-aan) na hakika Sisi bila shaka ndio Wenye kuihifadhi. [Al-Hijr: 9]

 

((وَأَنْزَلْتُ عَلَيْكَ كِتَابًا لاَ يَغْسِلُهُ الْمَاءُ تَقْرَؤُهُ نَائِمًا وَيَقْظَانَ)) مسلم - كتاب الجنة وصفة نعيمها وأهلها

((Na Nimekuturemshia Kitabu ambacho hakioshelewi mbali na maji ili ukisome katika hali ya kulala na kuwa macho)) [Muslim – Kitabu cha Jannah, wasifu wake, neema zake na watu wake]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/7819

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7819&title=59-Mukhtasari%20Aqiydah%20Ya%20Muislamu%3A%20Nini%20hukmu%20ya%20anayesema%20kuwa%20Qur-aan%20imepotoshwa%3F