Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Kukithirisha 'Ibaadah Na 'Amali Ramadhwaan > 01-Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Ipi Bora Kusoma Qur-aan Au Tafsiyr Katika I`tikaaf?

01-Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Ipi Bora Kusoma Qur-aan Au Tafsiyr Katika I`tikaaf?

Ipi Bora Kusoma Qur-aan Au Tafsiyr Katika I`tikaaf?

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan

 

www.alhidaaya.com [1]

 

SWALI:

 
Ipi bora kwa mwenye kukaa I´tikaaf, kusoma Qur-aan tu au kusoma Tafsiyr na kuizingatia? 

 

JIBU:

Kusoma Qur-aan ni bora zaidi kwa kuwa kisomo chake kina fadhila katika Ramadhwaan kuliko (miezi mengine). Ama kusoma tafsiri anaweza kufanya hilo wakati mwingine si katika hali ya I´tikaaf. Usomaji wa Qur-aan ubora wake ni wakati wa I´tikaaf, na kujishughulisha kwake kusoma Qur-aan huku anahifadhi ni bora zaidi kuliko kusoma Tafsiyr. 

 

[Al-Mawqi’ Ar-Rasmiy - Shaykh Swaalih Al-Fawzaan] [2]

 

  [3]

 

 

Share [4]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8397

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2654
[3] http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2654%C2%A0
[4] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8397&title=01-Shaykh%20Swaalih%20Al-Fawzaan%3A%20Ipi%20Bora%20Kusoma%20Qur-aan%20Au%20Tafsiyr%20Katika%20I%60tikaaf%3F