Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Maasi Katika Ramadhwaan > 03-Shaykh 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh: Kupiga Punyeto Mchana Wa Mwezi Wa Ramadhwaan

03-Shaykh 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh: Kupiga Punyeto Mchana Wa Mwezi Wa Ramadhwaan

 

Kupiga Punyeto Mchana Wa Mwezi Wa Ramadhwaan 

 

Shaykh 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

SWALI:

 

Muuliza kutoka Canada anauliza, nimetoa Manii (punyeto) mchana wa Ramadhwaan hali ya kuwa nimefunga. Nifanye nini? 

 

JIBU:

 

(Alichofanya ni haraam) na ni juu yake alipe siku hio. Kwa kuwa kutoa manii kwa makusudi haijuzu. Allaah Anasema: "Mwenye kufunga anatakiwa kuacha chakula chake, kinywaji chake na matamanio yake kwa ajili Yangu". 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8410

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8410&title=03-Shaykh%20%27Abdul-%27Aziyz%20Aal%20Ash-Shaykh%3A%20Kupiga%20Punyeto%20Mchana%20Wa%20Mwezi%20Wa%20Ramadhwaan%20