Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: 'Itikaaf (Kubakia Msikitini Kufanya 'Ibaadah) > 09-Imaam Ibn Baaz na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Sehemu Gani Inapaswa Kutekelezwa I’itikaaf?

09-Imaam Ibn Baaz na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Sehemu Gani Inapaswa Kutekelezwa I’itikaaf?

Sehemu Gani Inapaswa Kutekelezwa I’itikaaf?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

09-. Sehemu Gani Inapaswa Kutekelezwa I’itikaaf?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Sehemu inayopaswa kutekelezwa I’tikaaf ni Misikitini ambayo inasimamishwa Swalaah za Jamaa’ah.

 

 

[Majmu’w Al-Fataawaa (15/42)]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Katika kila Msikiti, ikiwa ni Misikiti inayoswaliwa Ijumaa au katika Misikiti isiyoswaliwa humo. Lakini iliyo bora ni iwe katika Misikiti inayoswalishwa humo (Jamaa’ah). 

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (20/155)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8581

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8581&title=09-Imaam%20Ibn%20Baaz%20na%20Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Sehemu%20Gani%20Inapaswa%20Kutekelezwa%20I%E2%80%99itikaaf%3F