Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: 'Itikaaf (Kubakia Msikitini Kufanya 'Ibaadah) > 12-Imaam Ibn Baaz : Mwanamke Atekeleze Wapi I’tikaaf Akipenda Kufanya Hivyo?

12-Imaam Ibn Baaz : Mwanamke Atekeleze Wapi I’tikaaf Akipenda Kufanya Hivyo?

Mwanamke Atekeleze Wapi I’tikaaf Akipenda Kufanya Hivyo?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

12-Mwanamke Atekeleze Wapi I’tikaaf Akipenda Kufanya Hivyo?

 

Mwanamke akitaka kutekeleza I’tikaaf, basi iwe katika Msikiti ambao hauna tahadharisho la ki-shariy’ah lakini ikiwa kuna tahadharisho la ki-shariy’ah basi asifanye I’tikaaf humo. 

 

 

[Majmuw’ Al-Faataawaa (20/163)]

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8584

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8584&title=12-Imaam%20Ibn%20Baaz%20%3A%20Mwanamke%20Atekeleze%20Wapi%20I%E2%80%99tikaaf%20Akipenda%20Kufanya%20Hivyo%3F