Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: 'Itikaaf (Kubakia Msikitini Kufanya 'Ibaadah) > 18-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kutiya Niyyah I’tikaaf Makumi Ya Mwisho Ramadhwaan Kisha Kutoka Usiku Wa Mwisho

18-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kutiya Niyyah I’tikaaf Makumi Ya Mwisho Ramadhwaan Kisha Kutoka Usiku Wa Mwisho

 

 

Kutiya Niyyah I’tikaaf Makumi Ya Mwisho Ramadhwaan Kisha Kutoka Usiku Wa Mwisho

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

18. Aliyetia Niyyah Kuingia I’tikaaf Makumi Ya Mwisho Katika Ramadhwaan Kisha Akataka Kutoka Usiku Wa Mwisho; Je, Kuna Makosa Juu Yake?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Ikiwa hakuwekea nadhiri na kukata kwake ni katika siku ya mwisho au kabla yake, basi hakuna dhambi juu yake. Lakini linalopendekezeka zaidi ni akamilishe ili apate kutekeleza Sunnah ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kwani yeye hakuwa akitoka kwenye I’tikaaf yake mpaka iingie mwezi wa Shawwaal.

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (20/184)]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8590

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8590&title=18-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Kutiya%20Niyyah%20I%E2%80%99tikaaf%20Makumi%20Ya%20Mwisho%20Ramadhwaan%20Kisha%20Kutoka%20Usiku%20Wa%20Mwisho