Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: 'Itikaaf (Kubakia Msikitini Kufanya 'Ibaadah) > 27-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn : Lipi Bora Kwa Mwenye Majukumu; Atekeleze I’tikaaf Au Atimize Majukumu Yake?

27-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn : Lipi Bora Kwa Mwenye Majukumu; Atekeleze I’tikaaf Au Atimize Majukumu Yake?

 

Lipi Bora Kwa Mwenye Majukumu; Atekeleze I’tikaaf Au Atimize Majukumu Yake?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

27. Lipi Bora Kwa Mwenye Majukumu; Atekeleze I’tikaaf Au Atimize Majukumu Yake?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

  1. Ikiwa mtu ana majukmu ya ahli zake na ikiwa amewajibika nayo, basi ni waajib kwake kuyatimiza na hivyo basi, kutekeleza I’tikaaf huwa ni dhambi kwake.

 

  1. Na ikiwa si yenye kuwajibika kwake, basi hata hivyo kuyatimiza huwa ni bora kwake kuliko I’tikaaf.

 

  1. Ama mtu aliyekuwa huru, basi I’tikaaf inakuwa ni haki kwake ki-shariy’ah. Lakini ikiwa ana majukumu katika makumi ya mwanzo, lakini kisha akawa huru kisha akataka kutekeleza I’tikaaf masiku yaliyobakia basi hakuna neno.

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (20/178)]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8599

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8599&title=27-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%20%3A%20Lipi%20Bora%20Kwa%20Mwenye%20Majukumu%3B%20Atekeleze%20I%E2%80%99tikaaf%20Au%20Atimize%20Majukumu%20Yake%3F%20