Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Kulipa Swawm Na Sitta Shawwaal > 19-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Je, Mtu Akifunga Siku Tatu Au Tano Kwa Ajili Ya Sitta Shawwaal Atapata Thawabu?

19-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Je, Mtu Akifunga Siku Tatu Au Tano Kwa Ajili Ya Sitta Shawwaal Atapata Thawabu?

Je, Mtu Akifunga Siku Tatu Au Tano Kwa Ajili Ya Sitta Shawwaal Atapata Thawabu?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Naam, atapata thawabu lakini hatopata thawabu ambazo ameziainisha Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika kauli yake:

 

“Atakayefunga Ramadhwaan kisha akafuatiliza na Sitta Shawwaal itakuwa kama ni Swiyaam ya mwaka” [Muslim]."

 

 

[Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb, Kanda (75)]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8636

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8636&title=19-Imaam%20Ibn%20%E2%80%98Uthaymiyn%3A%20Je%2C%20Mtu%20Akifunga%20Siku%20Tatu%20Au%20Tano%20Kwa%20Ajili%20Ya%20Sitta%20Shawwaal%20Atapata%20Thawabu%3F