Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Swalaah Ya 'Iyd Na Siku Ya 'Iyd > 05-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wakati Gani Inasomwa Du’aa Ya Kufungulia Katika Swalaah Ya ‘Iyd?

05-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wakati Gani Inasomwa Du’aa Ya Kufungulia Katika Swalaah Ya ‘Iyd?

Wakati Gani Inasomwa Du’aa Ya Kufungulia Katika Swalaah Ya ‘Iyd?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Du’aa ya kufungulia Swalaah inasomwa baada ya Takbiyrah Al-Ihraam na ni jambo lenye wasaa katika hili hata ikiwa atachelewesha kusoma du’aa ya kufungulia pale mwishoni mwa Takbiyrah hakuna ubaya."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/240)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8645

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8645&title=05-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Wakati%20Gani%20Inasomwa%20Du%E2%80%99aa%20Ya%20Kufungulia%20Katika%20Swalaah%20Ya%20%E2%80%98Iyd%3F