Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Swalaah Ya 'Iyd Na Siku Ya 'Iyd > 08-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Nini Hukmu Ikiwa Imaam Amenitangulia Nikakosa Takbiyrah Za Ziada?

08-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Nini Hukmu Ikiwa Imaam Amenitangulia Nikakosa Takbiyrah Za Ziada?

Nini Hukmu Ikiwa Imaam Amenitangulia Nikakosa Takbiyrah Za Ziada?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Ikiwa ameingia pamoja na Imaam akiwa katika Takbiyrah basi akabbir (Allaahu Akbar) kwanza, kisha amfuate Imaam katika yaliyobakia na itamuondokea kwake yaliyompita yatakuwa hayampasi tena."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/245)]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8648

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8648&title=08-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Nini%20Hukmu%20Ikiwa%20Imaam%20Amenitangulia%20Nikakosa%20Takbiyrah%20Za%20Ziada%3F